Elimu Afrika | Saturday Community Project.

0 Comments

EA Member | Saturday Community Project.
Ni uamuzi wetu wa busara tumejipangia kila mwanachama wa Elimu Afrika anapangiwa Jumamosi moja kujitolea kwenye jamii inayomzunguka.

Dhumuni la kubaliano hili ni kuendeleza uzalendo, Utu, na moyo wakujitolea kwenye jamii, kwa kufanya usafi, kuonyesha upendo na kujali kwa hali na mali.

Jumamosi hii ilikuwa ya @senkondo_saidy wa @sel_group Mungu akubariki kwa uwakilishi, pokea baraka za watoto uliowatembelea kwa faida yako na kizazi chako.

[email protected]@

Web Developer | Video Producer | Photojournalist.

Leave a Comment

Your email address will not be published.