• June 5, 2021 0900 - 1600

Elimu Afrika | Girls Mentorship Summit

Tuliwakilishwa Lightness Julius Mkolea
C.E.O @dagprojecttz kwenye Girls Mentorship Summit kilichoandaliwa na kudhaminiwa na BINTI MAKINI FOUNDATION na Legal and Human Rights Center (LHRC) katika kukamilisha siku ya kumuelimisha mtoto wa kike.

Mgeni rasmi akiwa Mama Anna Henga, Mkurugenzi wa taasisi ya Haki za Binadamu Tanzania (LHRC).

Lengo Kuu la Semina Hii ni;
-Kumpa mtoto wa kike Hari ya kuthubutu.
-Kufichua maovu yote ya unyanyasaji wa mtoto wa kike hasa vyuoni.
-Kuibua mijadala ya kuepuka umaskini na ujinga kwa mtoto wakike.
-Kueneza itikadi chanya za uwezo wa mtoto wa kike kama kiongozi.

Event Location

[email protected]@

Web Developer | Video Producer | Photojournalist.

Leave a Comment

Your email address will not be published.