• June 16, 2021 0900 - 1600

Siku ya Mtoto wa Afrika | Girls Soccer, Tanzania.

Siku ya Mtoto wa Afrika |Girls Soccer, Tanzania.

Tunahamasisha wadau wa michezo kutilia mkazo kwenye mpira wa miguu kwa Wasichana ili kuwawezesha Wasichana kiafya na kiuchumi kupitia Ajira.

Jambo hili halina mkazo kabisa hususani shule za msingi na sekondari ambapo ndipo chimbuko la vipaji na ubunifu wa watu hulelewa.

Mwaka huu tukiadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika, tunatoa wito kwa jamii na taifa kwa ujumla kutia mkazo na kuunga mkono mpira wa miguu kwa wasichana.

#EAI
#2021GST

Event Location

[email protected]@

Web Developer | Video Producer | Photojournalist.

Leave a Comment

Your email address will not be published.