• May 17, 2021 0900 - 1600

Wiki ya Ubunifu | Innovation Week 2021

Tunashiriki | Wiki ya Ubunifu, Arusha.
Mada kuu ya mwaka huu ni “Ubunifu kwa Uchumi wa Kidijitali Stahimilivu na Jumuishi”.

Wiki ya Ubunifu Tanzania imekua kwa kasi kutoka mwaka 2015 ikiwa na wahudhuriaji karibu 500 hadi mwaka jana, 2020 ilipoudhuriwa na zaidi ya watu takribani 7,000 na kuwa ya kitaifa zaidi.

Wiki hii imetoa jukwaa kwa wabunifu wengi kuonekana, wadau zaidi kuunda ushirikiano wa maana, maarifa mengi ya kushirikishwa, mipango mingi ya ubunifu itakayoonyeshwa na masuala muhimu yanayohusiana na sera kujadiliwa. @undp @uniceftz

Event Location

[email protected]@

Web Developer | Video Producer | Photojournalist.

Leave a Comment

Your email address will not be published.